Hoja zisizo na mashiko achaneni nazo.Swali la kujiuliza ni je dini tulizo nazo zimetusaidia kwa kiwango gani kuondoa umaskini,ufisadi na maovu mengine katika jamii kwa kipindi cha miaka 50 ya uhuru iliyopita.Je kuwepo kwa uislam au ukristo kumeongeza shule ngapi,barabara ngapi au kumechangia...
Sioni kazi ya Dr.Bilal.Kuna haja ya kuangalia upya umuhimu wa kuwa na makamu wa rais kwenye katiba mpya.Kwa sasa hana mashiko ya kiutendaji.Kazi ya kukata utepe hata balozi wa nyumba kumi anaweza kufanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.