Recent content by Epateletech

  1. Epateletech

    Vioo na betri za simu kwa pixel na iphone

    Leo nikupe mkeka mpya kabisa wa bei nafuu kwa wale wenye shida za matengenezo ya simu zao Epateletech tuko ubungo mawasiliano 0757937196 HIGH CAPACITY BATTERY FOR GOOGLE PIXEL ALL SERIES PIXEL BATTERY 🔋 REPLACEMENT 3 - 25,000 3A - 30,000 3XL - 30,000 4 - 40,000 4A - 40,000 4XL - 40,000 5 -...
  2. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    A10 hiyo kina button zimejam ndo maana ikiwaka inajiweka safe mode app kuwa disabled ni kwasababu ya hiyo safe mode hivyo check button mkanda wake
  3. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Hicho ni gundi imeachia hivyo ni kukitoa na kurudishia upya
  4. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Sawa asante kushirirki
  5. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    45k kubadilisha
  6. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Kazi inaisha
  7. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Hakika
  8. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Kwa Aquos ni kweli na sio hizo tu niseme zote zinachangamoto sana sikushauri kabisa kwa hizi simu zina dosari nyingi za kiwandani
  9. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Hiyo ni kweli kabisa inatokea simu nyingi Kariakoo sio mpya ni refurbished wanachofanya wanakuuzia kama mpya wanatafuta box cha kuzingatia check imei iendane na box na sio kwa sticker bali check ndani kabisa inayosoma ndani ndo iko kwa box pia unaweza kujilizisha kwa kuchek imei yako katika site...
  10. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Hiyo sio competition ni ujinga kama unataka competition mhusika kasema anzisha uzi wako
  11. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Big up wote tukisimama hivi tutaenda sawa
  12. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Inatengenezeka mkuu inapona kabisa chamsingi nikupata accessories zake
  13. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Uwezo wako wa ufundi unapoishia wenzako wanaanzia hapo na kwenda mbele ni vema ukajiongelea wewe ila usiwaongelee wengine
  14. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Najibu ulichouliza karibu
  15. Epateletech

    Fundi simu hapa uliza chochote

    Ni maoni yako hayo ila simu ni simu troubleshooting ni zile zile maana zina electronics ina basics zake simu ni circuit body displays na sensors
Back
Top Bottom