Recent content by enzi zangu

  1. E

    JamiiForums Tanzania CCM wanadharau sana waadhubuni October /2015

    We unafikiri mtandao unaujua ww tu,na kwa mawazo yako unafikiri kijijini huwa awauzi hata mbuzi 3 za elfu 50 kwa hiyo elimu yako hunazani hawauzagi hata ng'ombe kwa hiyo kijijini laki wanashika sana na lazima waelezwe fedha za escrow
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba uko palepale

    Ukawa wamemuwahi alikuwa ajiongezee mda
  3. E

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashangazwa na Msimamo wa Mbowe Kuhusu UKAWA

    Msaliti ni msaliti tu hata mungu anaweza kumsaliti
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nitaifia CHADEMA - Zakayo Chacha Wangwe

    Dogo hakuna kuhama
  5. E

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano wa CHADEMA Mtwara Ukiongozwa na Tundu Lissu

    Safi sanaaaa lisu komboa wana mtwara
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Polisi na CCM wakituzuia kufanya mafunzo mchana, tutafanya usiku na kwa kificho

    Maccm yatakufa na presha mengi haswa October yataomboleza mno
  7. E

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Ngereja wetu kabla ya kuwa mbunge alikuwa mwadilifu alivyoingia tu kwa ubunge akawa mwizi wa kupindukia niambie ni wizi gani umepita nchi hii bila kuwemo ngereja ccm kwa kuharibu vijana wetu balaa,mkutana aliofanya jimboni kwake shule ya msingi pambalu alizomewa mpaka na watoto licha ya kuwepo...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Gari 9 Zatumika Msafara Wa Dr Slaa: Haya ni Matumizi Sahihi ya Ruzuku?

    Chadema hata watumie magari 10 fedha za mafuta wanachangia wapenzi,wakereketwa na wanachama wa chadema na mm nikiweka lita 50 kwa gari moja kwa hiari yangu bila kulazimishwa na mtu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yared Fubusa, Ndiye Chaguo la wana Kigoma Kaskazini

    Ztto alijua tu ndo maana analikimbia jimbo kumbe kuna kamanda safi sana dr.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Zitto awajibu CHADEMA juu ya fedha za ziara za ACT- Wazalendo mikoani

    Ni kweli kabisa mwenye nia njema na ACT ni CCM sio watanzania
  11. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

    Hakuna kulala mpaka walale wao
  12. E

    JamiiForums Tanzania Zitto: Marekani Yangu ni Hivi Vijiji Vya Tanzania; Tutafanya Mijadala humu Vijijini!

    ZZK aendelee kuitumikia CCM chadema na wananchi wake akuna asiejua hilo dr.yuko marekani makamanda nchi nzima wako na wananchi maana chadema ina uongozi kila kata nchi nzima huyo mleta mada hajui hilo
  13. E

    JamiiForums Tanzania Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    Yaacheni magamba yakanyagane
  14. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa ziarani Marekani

    wamalekani wameanza kuitambua serikali ijayo
Back
Top Bottom