Recent content by enue

  1. E

    JamiiForums Tanzania I am Single

    Kichwa chako ndo serikali yako hivyo maamuzi ni yako usije ukasema nilishauriwa kwenye mahusiano kuna mambo mengi sana ambayo yanaweza pia yakakufanya ukapafomu vzr au akaharibu vyote hivyo kusoma na mapenzi naweza nikasema haviendani fanya kusoma kwanza wasichana wapo wng sana!!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Nafikiri kama angekuwa na uchungu na mafisadi asingethubutu kwenda kwa mh. Vijisenti nakumnadi kuwa huyu ndiye jembe lake! hii nafikiri ni danganya toto.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Inafaa nyote mfungwe mawe na mkatumbukizwe bahari la sivyo mnyongwe hadi kufa japo binadamu hajakamilka lakin siyo hivi mara ya 1 ;2 ;3 ;4 ........8 daaah!!
  4. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    Huu mwaka unaisha vbya......mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema pepini ameni.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Tukutane Oct 25 ndo itajulikana nan xaidi!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Hana jipua haswaa amevurugwa huyo!!!!!
Back
Top Bottom