Recent content by ENT

  1. ENT

    Naomba kueleweshwa

    Je unaweza funga dish la dstv na ukapata channel za free na baadaye nikalipia Kama nikihitaji za kulipia?
  2. ENT

    Mwenye kufaha hii biashara ya SuperSport anisaidue

    Ila nasikia mechi zinazooneshwa super sport 3 hata super sport hd 11 inaonesha ni kwel?
  3. ENT

    Mwenye kufaha hii biashara ya SuperSport anisaidue

    najua humu kuna wataalamu wanaonesha mpira na mimi ndio nina anza biashara hii na nina anza na kifurushi cha dstv cha 82000/=je hapa nitaweza onesha epl na uefa? SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SuperSport 9 SuperSport 9 East SuperSport HD 11 SuperSport HD 12
  4. ENT

    msaada ndugu zangu

    naombeni mwenye kufahamu jinsi ya kudownload windows xp boot cd
  5. ENT

    Msaada: Kutoa harufu ya uvundo

    Dah nguo za ndani ni kavu ila labda kutembea hapo sawa sasa nipe ushauri wako @ konda
  6. ENT

    Msaada: Kutoa harufu ya uvundo

    @konda ndio natumia
  7. ENT

    Msaada wa kiufundi

    Nina photocopy machine yangu kila nikiiwasha inaniletea meseji (restart the machine. Call service rep. E000007-0000) sasa nikirestart iko ivyo ivyo
  8. ENT

    Msaada: Kutoa harufu ya uvundo

    Asante Gemmy nashukuru kwa ushauri wako mzuri ubarikiwe
  9. ENT

    Msaada: Kutoa harufu ya uvundo

    Pamoja MZEE RAZA
  10. ENT

    Natafuta

    Nafuata laptop za bei chee[emoji61]
  11. ENT

    Msaada: Kutoa harufu ya uvundo

    Yaani nikuvaa nguo kama nikatembe kidogo tu lazima kaharufu ya uvundo katokee
  12. ENT

    Msaada: Kutoa harufu ya uvundo

    Habari wana JFDoctor, Naombeni kujua nini husababisha wanaume kunuka uvundo? Asanteni.
  13. ENT

    Tecno h5 imenigomea

    nimewipe cache na nikareset data
  14. ENT

    Tecno h5 imenigomea

    HABARI ZA LEO , Ndugu zangu ninaomba msaada simu yangu ya tecno h5 imenigomea baada ya kuiwipe data na cache yaani inawaka alafu kwenye skrini haioneshi kitu ni mwanga tu ndo upo alafu kuna mstari wa bluu kwa juu sasa nifanyaje msaada ndugu zangu
  15. ENT

    nashindwa kuelewa

    siku gani dist 111
Back
Top Bottom