Recent content by Enombre

  1. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Hakuna jipya kwa slaa analudia Yale Yale ya juzi
  2. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Jamani tulale slaa anaongea pumba tu kweli kahongwa huyo
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tutamchagua lowasa tu awe mgonjwa au awe fisadi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu uhuru mmeshindwa kutuletea maendeleo kwa zaidi ya miaka 50 sasa mmekuwa na viburi kwa Watanzania kana kwamba hii nchi yenu pekee yenu sasa sasa October 25, CCM mnatoka kwa kura zetu wenyewe Watanzania.
  4. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    Baada ya farao kuwatesa Sana waislaer hatimaye kawapa ruhusa ya kuonana, sasa jmosi wanamabadiliko tukutane jangwani yote mipango ya mungu kweli ukawa mpango wa mungu
  5. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    Wera Wera!!! Lazima niwepo saa 12asbui nipo jangwani
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi huu CCM mpaka lini Watanzania?

    Hali inavyo endelea CCM sio nzuri bora nihamie ukawa mapema maana Familia nzima CCM nimebaki peeke yangu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Ngoja tuingie Madarakani watakiona
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Lowassa na Magufuli hii hapa

    Lowasa ndio tumaini letu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CCM Kahama jimbo la Lembeli, wahiamia CHADEMA!

    Makufuli je upo hapo!!!?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Lowasa ni chaguo letu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    Wivu tu umekujaaa huna lolote itv ndio television ya taifa kama hutaki hama inchi gamba la CCM ww
  12. E

    JamiiForums Tanzania Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    Uliyataka mwenyewe ww ulikuwa unaangalia clouds ya nini!! !? Mwenzio naangaliga itv na azam TV tu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Theory hii, inawezekana wakazi wengi wa Dar ni Bongo lala

    Dar es salaam mburula wengi Sana hata utafiti unaonesha vichaa wengi wapo Dar tuwasamee bure
  14. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Ndioooooo
Back
Top Bottom