Write your reply...Mpige kura, msipige kura bado bado JPM atashinda tu, wala si kwa ujanja ujanja kama mnavyowalisha watu sumu ya kwamba ushindi huwa sio wa halali. Wewe wa mjini usimpe kura lakini huko vijijini watampa tu kura za ushindi maana huko ndiko wanakoona kazi ya JPM. Tena kama...
Write your reply...HAPA KAZI TU. Ndiyo inayowatesa nyote mnaompinga JPM,maana mlizoea kujipigia na kupata pesa za dhambi kwa kudhurumu jasho la wanyonge.Sasa ni wakati wenu wa kukinywea kikombe, wote mnaompinga JPM Mungu anawaona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.