Miaka 23 bado hujakomaa kama uliweza kumtoa na ukafanikiwa tulia kwanza usikimbilie maisha ya unyumba wewe bado sana,subiria atajitokeza atakae kua na upendo wa juu wakweli na wewe muda ukifika.
Huyo msahau hakuwa na hawezi kua na mapenzi na wewe na amejipanga kurudi ili aje akumalize...
Hivi ni kwanini mwanamke akimzidi umri mwanaume familia inaleta vikwazo juu ya mahusiano kati yao mpaka inafikia kuachana unakuta labda mke ana miaka 40 na mume 35 au mke awe 45 na mume 40 inakuwa ni tatizo kubwa?
Umry: miaka 40
Masomo: darasa la 8
Dini: muslim
Makazi:kenya
Watoto:watatu vijana wakubwa
Kazi niko Saudi Arabia Ila natarajia kushuka huu mwaka.
Matarajio yangu nikufanya biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.