Kijana wa kunyoa anahitajika, awe msafi, ajue kunyoa style zote, Awe mkazi wa Moshi. Ofisi zipo KCMC Moshi. Kama una hizo sifa au unamfahamu mtu mwenye hizo sifa tuwasiliane.
0755982500
Habari wana jamii forum, Natumani mu wazima.
Kama wewe au una mtu yeyote anaweza kufanya kazi maktaba mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
2. Awe mchapakazi (kufanya kazi bila kusimamiwa)
3. Mwenye uzoefu kwanzia mwaka mmoja na kuendelea atapewa kipaumbele...
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 24, Nina shahada katika fani ya banking and finance.
Pia nina uzoefu kidogo katika fani yangu. Nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni, taasisi, benki nk.
Kama wewe au mtu yoyote anahitaji mtu mwenye sifa kama zangu haya ndo mawasiliano yangu...
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 24, Nina shahada katika fani ya banking and finance. Pia nina uzoefu kidogo katika fani yangu.
Nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni, taasisi, benki nk.
Kama wewe au mtu yoyote anahitaji mtu mwenye sifa kama zangu haya ndo mawasiliano yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.