NIPO TAYARI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE

NIPO TAYARI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE

Enno Temba

Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
29
Reaction score
6
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 24, Nina shahada katika fani ya banking and finance. Pia nina uzoefu kidogo katika fani yangu.
Nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni, taasisi, benki nk.
Kama wewe au mtu yoyote anahitaji mtu mwenye sifa kama zangu haya ndo mawasiliano yangu
0755982500
NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Kama upo na skills (ujuzi) unaweza kuuza huo ujuzi mwenye freelancer platform ya

Projects | KaziYako Tanzania

Unachifanya unajiunga kama worker/freelancer, unajaza taarifa zako halafu inaenda sehemu imeandikwa post project, unachagua free plan then unapost project yako tayari buyers kukununua.
 
Kama upo na skills (ujuzi) unaweza kuuza huo ujuzi mwenye freelancer platform ya Kitanzania KaziYako Tanzania | Freelancers Online

Unachifanya unajiunga kama worker/freelancer, unajaza taarifa zako halafu inaenda sehemu imeandikwa post project, unachagua free plan then unapost project yako tayari buyers kukununua.

Shukrani
 
Back
Top Bottom