Natafuta kazi ya finance au banking; niko tayari kufanya kazi mkoa wowote

Enno Temba

Member
Sep 30, 2015
24
45
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 24, Nina shahada katika fani ya banking and finance.

Pia nina uzoefu kidogo katika fani yangu. Nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni, taasisi, benki nk.

Kama wewe au mtu yoyote anahitaji mtu mwenye sifa kama zangu haya ndo mawasiliano yangu
0755982500

NATANGULIZA SHUKRANI.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom