Recent content by EnnaT

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

    Kwakweli mahusiano yangu yoote yanakufa sababu ya kukosa attention ya mwanaume, daily unalalamika mtu hakuzingatii..unaamua kuacha tuu labda mapenzi si ya kila mtu. NI ajabu sana mtu anajiona yuko sahh eti mimi hata niwe kimya ila ujue nakupenda..sasa unajiuliza kuna upendo bila ukaribu.
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

    Upuuzi wake mtu timamu ukasirike ndo ukalewe??
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

    Nikikosa tuu time yake basi
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usipumbazwe na muonekano wa nje, mahusiano yanaendeshwa zaidi na mfanano wa ndani

    Unataka picha wakati nilazima tuonane, enewei nyama ziko chini.
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mkishapata pesa na magari hao wanawake mnawapataje?

    Poor me..
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

    TAWILEEE
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

    Hao mbuzi wanaotoa bikra za wadada wako wapi kwanza? Waje tukae kikao.
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Mwanasheria anajielewa anajua nn anataka anajua kwamba akipigwa lazima afate sheria..mkiachana lazima mgawane ukimcheat unamtocha kihisia anakufunga😂ni kosa. Ukimfosi unyumba anakufunga😄 yaan inshort mwanasheria anajielewa kuliko mwalimu wa shule ya msingi. Ukiona unapiga mwanamke anakaa kimya...
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Niko ivo sio nyuma ya kibod..sasaa kwann umdhalilishe mmeo? Afu baada ya hapo mnageuka topic mtaan.
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Sowez mdhalilisha mume wangu ivo, baada ya hapo wanaachana au wanashea io aibu?? yaan mbele ya kila mtu, NO
  12. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana tofauti na betting

    Nikipenda lazima nijisahau aisee..kila siku najiapia kwa kujidanganya "mm kumpa hela mwanmme😄mm kumuamini mwanmme" but mwisho wa siku narudia makosa.. Bora walioamua kua wachimba migodi.
  13. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Mmh nishaachaha kutafuta mapenzi ya kweli.
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

    Dating player is a talent
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

    Vipi mnaopewa namba afu..........
Back
Top Bottom