Ubarikiwe sana brotha maana hivyo vitu unavyovisema ni adimu sana na baadhi ya watu wanavitafuta sana lakini hawavipati na hata kama wakipata, wanapata kwa ghalama kubwa sana. Usichoke kuelimisha kaka
Ni wazo zuri brotha, kama hutojali naomba unidokeze japo kwa muhtasi kuhusu hiyo idea ili nilione ni jinsi gani naweza kushilikiana na wewe, e-mail yangu ni musibakuleba@yahoo.com. Siku njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.