Recent content by Engmo

  1. E

    SIM- network unlock code

    habarini wakuu. naomba mwenye ufahamu wa hii 'SIM - network unlock code' kwa mtandao wa vodafone (uk) anisaidie. nimeletewa simu toka uk lakini unapoweka sim card inaandika maneno hayo hapo juu, pia inaandika 'perso locked' natanguliza shukurani zangu!
  2. E

    Kama ingekutokea wewe ungefanyeje?

    Kundas.bado hujapata ushahidi wakukufanya umtuhumu.kwahiyo nafikiri jaribu kumuamini ila b eyes
Back
Top Bottom