Kiburi cha kutumika kama chui wa karatasi au kinyago cha mpapule akimwakilisha Karamagi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera. Hakujua kama hata mchonga kinyago (Karamagi) amemshindwa Rweikiza mara mbili.
Lililobaki akavae kanzu na baraghashia akasubirie mpango wa Sa100 na Karamagi
This time league imechezwa kati ya LGA vs Mbunge. Hakuna jinsi nyingine yoyote ya kumtenganisha Hajat Fatma na jina la Byabato kutorudi. Mama Fatma alipambana sana kutuaminisha kuwa miradi na maendeleo yote yaliyofanyika kipindi hiki ni kwa juhudi za LGA ikiongozwa na RC. Dhana hii mpya ghafla...
Katika picha mjongeo inayoonekana hapo chini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mbalali ambaye sasa ni Mgombea ubunge ndani ya CCM, Jimbo la Kyerwa, Karagwe anaonekana akizuiwa kutumia jukwaa la Ibada ya mazishi ya Padre Vitalis huko Karagwe kupiga siasa. Nalipongeza kanisa Katoliki kwa kwa kuwa firm...
Vifungu vifuatavyo hapa chini vinatoa ushahidi kutoka kwa maneno ya Yesu mwenyewe kwamba alikuwepo kabla ya uumbaji wa mbingu na nchi, akidokeza umungu wake na uwepo wake wa milele.
Yohana 8:58, Yohana 17:5, Yohana 17:24,
Sikubaliani na hoja ya utapeli lakini nakubaliana na maono kwamba ili hema lidumu maombi yanahitajika mno. Nasema hivi kwa sababu uwepo wake pale Kawe ni kwa hisani ya serikali ya awamu hii ya Mama. Ikitokea akaja Farao asiyemjua Yusufu, hema halitapona.
Sir Jeff amenikuta hapa JF. Na ninamfahamu hata nje ya hapa na nje ya kabisa ya mitandao. Nayajua hata mazao toka mikono yake e.g. Clinton M, Elikana, 360 Globex, etc.
Jeff ni mwanadamu kama binadamu wengine hivyo hawezi kukosa madhaifu. Lakini penye sifa yake mpe. Tatizo WaTz tumetekwa na roho...
Acheni wivu na fikra za Kimaskini kuwachukia wanaofanikiwa. Sir Jeff ni kijana mpambanaji, mwenye ujasiri na akili ya kuona mkate pale wajinga wengi wanapoona mawe
Sir Jeff kama kakamatwa haitakuwa kwa sababu yotote ile nyingine zaidi ya matumizi ya VPN kuiunga mkono #NoReformNoElection kupitia Twitter. Namsifu na kumpongeza kwa kujipambanua kama kijana jasiri anayelitetea Taifa lake hata kwa kuyasadaka maisha yake
Kabla hatujawashutumu wazima internet tujiulize kwanza, je, tunao Vijana walio tayari kusimama kidete kutetea maslahi yao na nchi yao? Mathalani, niambie, nani katika vinara wetu wa mitandaoni anaweza kuwa "Eric Omondi" wetu?
Wadau Wasalaam,
Nimetafakari nguvu iliyoonyeshwa na Vijana wa Gen-Z huko Kenya na kisha nimepitia video ya Fidias Panayiotou, YouTuber na Influencer sasa Mbunge wa EU bila uzoefu! Nimebaini kuwa si jambo la kufikiria tena; Mitandao sasa ina nguvu ya kusimamisha au kuangusha dola.
Kizazi cha...
Technical Analysis of the Financial Markets: A Comprehensive Guide to Trading Methods and Applications by John Murphy has been attached for interested forex traders
Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa mambo ya ulimwengu wa Roho. Katika lulu ambazo nimepata kuzijua ni Mtumishi wa Mungu, Askofu Elibariki Sumbe msimamizi wa Kanisa la Vuka Yordani lililopo Ngaramtoni, Arusha. Katika zama tulizomo moja ya changamoto kubwa ni kuwatambua Watumishi wa Mungu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.