Ni kweli kkoo feki kibao. Na imeandikwa kila mtu afanye maamuzi yake ya kimaisha. Lakini kama unajua pa kwenda unajifunza kwamba simu original ziko sehemu nyingi tu. Mpaka uonyeshwe pa kwenda lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umepoteza muda wako wote kukasirika juu ya maneno yalioyoandikwa kwenye mtandao wa kijamii? Matatizo yako hayaishii hapo.Unaweza ukaacha kusoma. Huu ujumbe sio kwa ajili ya kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wateja wa aina mbali mbali wa smartphone.
Kuna wale walioibiwa simu. Kuna wale wanaotumia laini nyingi. Kuna wale ambao simu haikai na chaji. Kuna wale ambao simu yao ina ''stuck''. Na kuna ambao wanataka simu mpya kwasababu wamechoka wanaoitumia.
Lengo la hii post ni kukupa muongozo kama...
Paula Paul,
Sio faida ya kuwa ''rafiki'' wa mwanamke. Tukiwa marafiki tutakuwa tutafanya nini? Hiyo sababu ya kwamba its too ''painful'' ni uongo.
Ukweli ni kwamba he won't ''***'' you. Hakuna faida ya kuongea na wewe tena. Wewe humtaki. Na yeye abaki kufanya nini? Kuongelea siasa?
Umeshawahi kusemwa (au kuchekwa) na watu eti kisa ''gari lako chafu?''
Unawajua hawa watu. Wanapenda sana kufuatilia mambo hayawahusu. Wasione kitu na wanaanza kukosoa. Hawajui unapitia changamoto gani kimasha. Wanakosoa bila kuelewa.
Je, ungependa ''kuwanyamazisha'' hawa watu wenye tabia ya...
Jifunze kwanza jinsi ya kuandika matangazo. Acha kuwaza kufanya kazi kwenye TV industry. Jifunze kwanza matangazo yanavyoandikwa halafu ndio ufanye uamuzi wako.
Hivi vitabu vitakusaidia:
1. How to Write A Good Advertisement---Victor Schwab
2. The Copywriters Handbook---Bob Bly
3...
Swali lako umeshalijibu mwenyewe.
Kama unataka hela ''Tengeneza Bidhaa au Toa Huduma Ambayo SOKO Inataka''
Zuckerberg alitengeneza FACEBOOK. Bill Gates alitengeneza Software ya kutumika kwenye makompyuta. Hao matajri wawili wametengeneza PRODUCTS ambazo SOKO WANATAKA. Na ndio maana ni...
Wazo zuri sana mwanangu! Hata mimi mwenyewe nimeiona hiyo fursa. Na sasa hivi niko bize naitafuta hiyo hela ya kuwekeza.
Wasomi hawatawaza hivi. Wasomi wengi mawazo yao yako hivi ''hebu ngoja niongeze na PHD labda naweza nikawa tajiri'' Kwahiyo maisha yao yote wanategemea mshahara. Halafu...
Jibu la swali lako ni simple sana. Ukitaka kutengeneza hela unayotaka---tengeneza bidhaa au toa huduma SOKO inayotaka.
Ukubwa wa SOKO lako ndio ukubwa wa HELA utakayotenegeneza. Kutengeneza hela siyo digrii au elimu uliyonayo.
Kutengeneneza hela ni KUTIMIZA MAHITAJI ya binadamu wenzako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.