Tunachozungumzia ni kuokoa gharama wale wa praticle tunasema waendelee kufanya mara baada ya kufaulu written yao ila wafanyie ndani ya mkoa yao huku wakendelea simamiwa kama kawaida na wahisika mara baada ya hapo ndio aweze kwenda dodoma kwa mahojiano..
Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili.
Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia,
Ila...
Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha?
Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii?
Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge?
Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.