Recent content by Engineer Hassan

  1. Engineer Hassan

    Nahitaji laini za uwakala

    Usinipelekeshe, unaweza biashara tufanye, huwezi basi.
  2. Engineer Hassan

    Nahitaji laini za uwakala.

    Nahitaji laini za uwakala,Airtel Money na Mpesa .
  3. Engineer Hassan

    Nahitaji laini za uwakala.

    Nahitaji laini za uwakala,Airtel Money na Mpesa .
  4. Engineer Hassan

    Nahitaji laini za uwakala

    Nahitaji laini za uwakala,Airtel Money na Mpesa .
  5. Engineer Hassan

    Nahitaji laini za uwakala

    Nahitaji laini za uwakala,Airtel Money,Mpesa na Tigo pesa.
  6. Engineer Hassan

    Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

    Sio kweli. Ukiona Engineer maskini huyo sio competent Ni kawaida sana kwangu kupata milion 50 ,100 kwa project moja.
  7. Engineer Hassan

    Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

    Hapo EE ipo poa zaidi kuliko Mise,Mise ni subset ya EE.
  8. Engineer Hassan

    Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

    Mfano kwa mwaka wa kwanza anachosoma EE ndicho atakachosoma Mise kwa semester ya kwanza. Semester ya pili watatofautiana kidogo Kozi mbili ,EE atasoma Soil na Introduction of environmental engineering lakini Mise atasoma mambo ya Mining and Mineral Processing pamoja na mambo ya industrial...
  9. Engineer Hassan

    Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

    Acha kudanganya Municipal and Industrial Services Engineering ni mtoto wa Environmental Engineering Hamna utofauti mkubwa. Hawa wanatofautiana kwa kiasi kidogo sana.
  10. Engineer Hassan

    Wanafuzi wa zamani vs wa sasa hivi, udogo ki umri ndio chanzo cha kufeli sana form four?

    Hata O lev pia passmark imepanda B yao inaanzia 65 halafu C inaanzia 50 Pia kigezo kingine ni hizi social media mf fb ,ig ,jf nk Wengi wanapoteza muda kwenye social media kwa kupost na kulike picha,kusoma msanii gani kafanya nini wapi na kwa nini Hivyo wanakuwa hawapati muda mwingi wa...
  11. Engineer Hassan

    Wanafuzi wa zamani vs wa sasa hivi, udogo ki umri ndio chanzo cha kufeli sana form four?

    Tofautisha zamani na sasa Hata mfumo wa elimu ni tofauti Mitihani ya sasa hivi ni competence based exam ambayo inapima mwanafunzi kaelewa nini tofauti na mitihani ya zamani ambayo ilikuwa inampima mwanafunzi kakariri mambo.mangapi Pia sababu nyingine passmark pia zimepandishwa sana kwa...
Back
Top Bottom