Recent content by ENGINEER 582

  1. E

    Zitto asema hoja yao iko pale pale

    Tumekuwa na wataalamu wengi katika fani mbalimbali lakini wote wamekuwa wakitamani na kukimbilia siasa ili waweze pata nyazifa mbalimbali kwa kuwa taaluma zao na utaalamu wao umekuwa na kipato duni. Kazi ngumu ila maslhi kidogo ilihali ni wataalamu. Tufanye nini ili watu wasikimbilie sana kwenda...
  2. E

    Zitto asema hoja yao iko pale pale

    Ili tupige hatua ya maendeleo inabidi mawaziri waliotuhumiwa wafilisiwe mali zao zote na kuhukumiwa. Pia lazima tufikie sehemu ambapo anayechagua kuwatumikia watu ana wito kama vile wa upadre au uchungaji Usiotegemea mshahara. Lazima watu waogope kukimbilia tu siasa na ubunge.
  3. E

    Zitto asema hoja yao iko pale pale

    Rais anatia huruma sana. Kwa siku chache kakonda sana. Hana watu wa kuwaweka katika baraza la mawaziri
  4. E

    Dr. Slaa alipa Bunge na Serikali siku tatu (3)

    Huna akili sawasawa wewe nenda milembe. Watu wamejeruhiwa vile unataka waendelee kukaa hapa bila matibabu sahihi. Mbona wezi na mafisadi hata hawaumwi waenda india. Nakushauri kama huna la kuchangia tulia tu.
  5. E

    Mara waahidi kuwafukuza wabunge wao isipokuwa..

    Heloo. Safi sana makamanda mara. tuige wote mfano huo
Back
Top Bottom