Recent content by Engine0964

  1. Engine0964

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Jamani nilikua naomba ufafanuzi kuhusu mzigo wako unapofika posta ili uuchukue hua Kuna malipo utatakiwa kufanya au ukishalipa Ile shipping fee ndo unakua umemaliza. Na Kama yapo hua ni kiasi gani? ASANTENI
  2. Engine0964

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Mechanical engineering

    Wakuu kwa mwenye uelewa naomba msaada tafadhali. Nimechaguliwa kozi ya Mechanical engineering chuo cha NIT ngazi ya Bachelor lakini naona ni ya miaka mitatu 3 nilikua nauliza kuna utofauti gani na kwenye vyuo vingine kwa sababu kozi hii inachukua miaka minne 4
  3. Engine0964

    Msaada kwenye machaguo ya Vyuo

    Kama ulipata chuo kimoja yaani single admission haina haja ya ku confirm coz confirmation code wanatumiwa wale wanye multiple admission.Pia unaweza kuomba chuo kingine bila ku cancel admission ya chuo cha awali na bado ukapata,ukishapata chuo kwenye second round utaingia kwenye kundi la wenye...
Back
Top Bottom