Recent content by Engager

  1. Engager

    JamiiForums Tanzania Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Umewaza kama mimi.
  2. Engager

    JamiiForums Tanzania Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

    Akili? Unazungumzia akili kwenye serikali hii??!
  3. Engager

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni uapisho wa Waziri Mkuu, lakini sura nyingi zinaonekana zenye huzuni, nini kinawasuta kwenye nafsi zenu?

    Acha hiyo. Mkuu wa nchi kapost pongezi kwa waziri mkuu mpya kwenye ukurasa wake wa instagram halafu kazima comments😊
  4. Engager

    JamiiForums Tanzania Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

    Tuliambiwa wamejipanga kuelekea MO29. Hadi mtaani tulikuwa nao tunawashangilia. Lakini walifanya nini? Kitu gani kiliwashinda na sasa watakiweza?
  5. Engager

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ngoja niwaambie kitu Watawala kuhusu hawa Gen Z

    Generation Z (Zoomers/ Gen Z) ni kundi la watu ambao wamekulia katika mazingira tofauti kidogo na Generations zingine za nyuma yao (Generation Y kurudi nyuma) Kwa asiye jua, Generation Z ni kundi la vijana waliozaliwa kati ya 1997 hadi 2012. Gen Z ndilo kundi kubwa la watu waliokulia katika...
  6. Engager

    JamiiForums Tanzania Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Yule mwanamke haelewi maana ya kiti anachokikalia.
  7. Engager

    JamiiForums Tanzania Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Eti wanataka kusema hizo picha ni eiAi😅
  8. Engager

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

    Kitu hatamu kinakuwaje sunnah?!
  9. Engager

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

    Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4) Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
  10. Engager

    JamiiForums Tanzania Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

    Au sio. Ila ipo siku tutazungumza lugha moja. Kwasasa endeleeni kuhudumia matumbo yenu.
Back
Top Bottom