Recent content by Eng_Raheem

  1. E

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Kilichobaki asahv ni kutulia tu...hatm yetu anaijua mungu...tusijimalize CD4 kizembe
  2. E

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Kwan nan kashapata...na kama u mekosa kwann wakuambie usubir...yan wakupotezee muda..punguza presha
  3. E

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Kila mtu ana bando lake na simu yake so anahaki ya kuandika chochote anachojiskia so sio kinachoandikwa humu kinamantiki..heslb sio wajinga kuwapotezea watu muda bila sababu kama walisema watatoa tusubir..tukikosa na hapo ndo tulaumu
  4. E

    UDSM, first year students 2020/2021

    Kwamba ajira hamna au?
  5. E

    Mliochaguliwa UDSM undergraduate Chuo kinafunguliwa lini?

    Tarh 23 ndio masomo yanaanza...so i think masuala ya usajil yataanza kwenye tareh kumi na kitu
  6. E

    Msaada jinsi ya kupata confirmation code

    Subir maana huwa ndani ya siku tatu
  7. E

    Kuapply UDSM inasumbua

    Watu wengi wanaapply so server imezidiwa..chakufanya jaribu kuapply muda ambao unahic watu weng watakua hawaivisit..mfano alfajir...cause me mwenyew nlipata matokeo yang ya chuo kwa haraka kwa sababu nilikua na log in saa kumi asubuh...ilivofika mida ya saa mbili ikawa kuingia ni shida
Back
Top Bottom