The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,586
Sorry , naomba kuuliza kwa wale mliochaguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Mnaanza kuripoti lini chuo?
UDSM bado hawajatoa tarehe rasimi ya kuripoti kwa mwaka wa kwanza. Wengine ni tarehe 23Sorry , naomba kuuliza kwa wale mliochaguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Mnaanza kuripoti lini chuo?
Jiandae na pesa ya direct cost na accommodation.Nauliza kwa first year undergraduate UDSM, vipi joining instructions zinapatikaneje mpk leo kimya tu?
Nina mdogo wangu amepangwa huko lkn hatujapata joining instructions UDSM.