Recent content by Eng onesmo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuijua kozi ya Diploma in Auto-Electrical and Electronics Engineering inayotolewa NIT

    Siyo kweli Mimi nimepiga electronics napiga kazi kinyama za security system na nimefungua kampuni yangu na vijana kibao kutoka veta ulimwemgu wa Sasa hivi unahitaji sayansi ya umeme zaidi
  2. E

    JamiiForums Tanzania Civil engineering ni moja ya kozi inferior UDSM-COET.

    Telecom mbona inafursa nyingi kitaani nguvu kigodo akili nyingi pesa utitiri kikubwa kujituma basi sio kutegemea kuajiriwa Toka magetoni mpigie kazi
  3. E

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

    Ni miaka 30 kwa sasa
  4. E

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

    Sina hayo magonjwa ndg
  5. E

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

    Mimi sio mhusika lakini na Mimi nateseka sana na ili tatizo mpaka nimefikia hatua ya kutengana na mke wangu Kama Kuna msaada na mi nipate
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokwa na damu wakati wa sex

    Asante ndg maana inaogopesha
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokwa na damu wakati wa sex

    Hakuwa na hilo tatizo
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokwa na damu wakati wa sex

    Hapana hakuwa na hilo tatizo
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokwa na damu wakati wa sex

    Njia kawaida
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokwa na damu wakati wa sex

    Njia ya kawaida ndg
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokwa na damu wakati wa sex

    Habari Wana jamiiforum, Mke wangu ambaye ana miezi mitatu tangu atoke kujifungua mtoto wa kwanza amekuwa na tatizo la kutokwa damu Mara tu tunapoanza mchezo wa kikubwa yaani ukisukuma Mara mbili damu uanza kuonekana na hii inatokea. Ninapochomoa bunduki maana uwa nafanya hivyo ili nisiweze...
Back
Top Bottom