Recent content by Eng manova

  1. E

    JamiiForums Tanzania Actuarial science vs bsc in environmental engineering

    Mm sijui vizuri environment engineering kazi zake hapa bongo ingawa watu wanaochaguliwa uwa na ufaulu wa kawaida hata div 2 na 3 uwa wanachaguliwa kusoma kwahiyo unavyo ilinganisha actuarial science na environment unakosea sea sana hii kozi labda ungelikanisha na petroleum engineering km...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Actuarial science vs bsc in environmental engineering

    Actuarial science hii kozi inafundishwa udsm tuu hii kozi inahusiana na mambo ya risk, kazi zake huwa katika mashirika ya bima na sehemu zingine za hesabu kiufupi hii kozi inahitaji mtu aliye fanya vizuri hesabu na Mara nyingi uchukuliwa watu wenye division one mzuri na vilevile hii kozi...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Actuarial science vs bsc in environmental engineering

    Piga actuarial science
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

    Ki ukweli engineering kozi zina sumbua kwa sababu kozi nyingi huwa za msimu na baada ya muda soko la upotea kozi zilizo hai ni civil, electrical na mechanical, changamoto za kozi za engineering hapa bongo ndo zilifanya kizazi cha PCM waliomaliza form six 2009 na 2010 chuo k kozi biashara...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

    Mm kwa upande wangu mechanical ni best kati ya hizi kozi civil, electrical ambazo ndo kozi pekee za engineering ambazo bado zina uhai hapa nchini ukilinga nisha na kozi za msimu km telecom na petroleum , mechanical ni kozi mzuri kwa sasa kutoka sera ya nchi ya viwanda na ktk viwanda...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani kinafundisha masuala ya lift za majengo marefu?

    Lift katika majengo hii ni kazi ya sub contractor ambayo mara nyingi huwa mechanical engineer ila kwa elimu ya mechanical ya hapa bongo uwezi kuwa fundi wa lift labda upate kazi kwenye company za nje ambao zina deal na haya mambo utaweza na ww kupata ideas kwa mfupi hii elimu kwa hapa Afrika...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kupata D ya General Studies ni ngumu kuliko A ya physics

    PCM na PCB ndo comb wanazo soma watu wenye uwezo Mkubwa darasani usitegemee T.O kutoka Hkl,HGK
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia youtube kosoma PCM,PGM,PCB ya A-level bila kwenda shule wala tuition na nikafaulu mitihani?

    Dogo hizo comb PCM,PCB na PGM sio rahisi km unavyo fikiri sinahitaji upate mwalimu mzuri wa kukufundisha na juhudi binafsi kwa ushauri yng tafuta tuition mzuri
  9. E

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka wa 10 sijawahi kuona A ya Geography Advance nashangaa wanaosema Geog ni rahisi kuliko Physics

    Watu wanaopata A physics ni wachache kuliko wanaopata F ambao ni wengi lakn geography watu wanaopata A akuna na hata wanaopata F ni wachache zaidi kiufupi statistics ya ufaulu wa geography ni kubwa kuliko physics ambao chache
  10. E

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma Canada zipoje?

    Mkuu shukurani kwa ufafanuzi ila ningependa utusaidia maelezo kidogo kwa mtu anayetaka kuja uko kusomea hizo fani
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazoefu Katika Kubebana na Kununua jina Hostel UDSM

    Watu wengi wakosa hostel
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Architecture, Quantity Survey na Land Management and Valuation?

    Architecture miaka mingi piga Quantity survey
  13. E

    JamiiForums Tanzania DIT B.eng in oil & gas engineering Vs B.sc in Petroleum engineering

    Petroleum engineering ipo vizuri
Back
Top Bottom