Recent content by Eng kihonza

  1. E

    Fridge ya cocacola au pepsi inahitajika

    nashukuru kiongozi unaweza nisaidia procedure zao. yaan pakuanzia mpaka napata
  2. E

    Fridge ya cocacola au pepsi inahitajika

    Habari wadau, samahani kwa yeyote anaejua upatikanaji wa fridge ya cocacola au pepsi anisaidie nmefungua biashara lakin nashindwa kufanya biashara kwa wiredi kwa sabaubu ya FRIDGE. AKSANTE
  3. E

    Unga wa sembe na dona

    Habari watz. samahan natafta mtu wa kuniuzia unga wa sembe na dona kwa bei ya jumla isiyozidi 21,000 kwa mfuko wa kilo 25. nanunua kuazia mifuko 10 mpaka 20. mtaji ukiongezeka nitanunua mpaka mifuko 200. napatikana mbezi mwisho barabara ya kwenda makabe. my no ni 0653 544 123. aksante
  4. E

    Natafuta bussiness partner wa unga wa sembe

    Nipo dar mbez mwisho nitafte kwa no hii.
  5. E

    Natafuta bussiness partner wa unga wa sembe

    Mbona hujaweka no yako mwagito?
  6. E

    Natafuta Sembe na Dona kwa bei ya jumla

    Natafta mtu wa kuniuzia unga wa sembe,dona, mchele na maharage kwa bei ya jumla.
  7. E

    Chumba na sebule ubungo externl kinapangishwa

    UMEME NA MAJI NI VYA KUSHARE AU INDIVIDUAL?
  8. E

    NAUZA ASALI

    Mi nataka lita kumi nipo dar mbezi mwisho. tafadhal isiwe imepikwa. nitafute kwa no 0653544123
  9. E

    Natafuta muuza duka

    bado hujapata? upo sehem gan. binti yupo na anauzoefu wa kuuza duka la madawa kwa miaka minne. so nitafte kwa no hi 0755875710
  10. E

    Natafuta wanunuzi wa Asali niko iringa

    mbona hujibu shi ngap kwa lita?
  11. E

    Vitu bei rahisi

    nmekutumia sms hujajibu mkuu
  12. E

    Vitu bei rahisi

    nipigie hesabu ya kitanda&godoro, radio, tv na dvd.
  13. E

    Vodacom mtandao usiomjali mteja

    hawa wanatufukuza kwa mbinu za kutuibia na kutusumbua. huenda wana wateja wengi hvyo wamezidiwa. mm nlitumia zaid ya lak moja kisa kufatilia pesa yang nlituma bank 4'900'000 wakaisitisha haiend bank wala sipati sms mpka babang aliwekwa police kwa ajil ya upumbavu wa voda. NAICHUKIA VODA...
Back
Top Bottom