Recent content by ENG CONSTANTINE

  1. E

    Job Vacant: Heavy Equipment Operator

    Qualified applicant must apply
  2. E

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Unapo design storage tank la rain water harvesting unazingatia demand side yaan matumizi yako ya maji ni kiasi gani lets say mf. Katika familia yangu maji tunatumia 180lts kwa siku ina maana kwa mwezi utatumia liters 5400, alafu unazngatia je unauhitaji wa maji hayo katika matumizi kipindi kipi...
  3. E

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Mkuu naomba nimsahihishe jamaa hapoa.. kwanza dimensions za storage tank zinategemea na uhitaji wako wa maji Kitu cha kwanza kabla ya kuchimba kisima lazma utambue uhitaji wako wa maji kiasi gani unatumia , sasa basi unatakiwa uangalie njia ya uvunaji wako wa maji ni ipi lakini njia wanazotumia...
  4. E

    Ajira za kozi ya irrigation zkoje

    B.Sc. in Irrigation and Water Resources Engineering degree programme should be able to work in one or a combination of the following areas: i) Large scale irrigation projects ii) Urban water supply authorities iii) Small-scale mechanised farmer managed schemes iv) Irrigation and water resources...
  5. E

    Hii kozi ya Bsc aquaculture bila field!

    Hapana mkuu hua wanaenda mwaka wa pili ila mwaka wa kwanza hawaendi na ndio maana hawaja wekewa katika loan allocation ya mwaka huu(yaan wa kwanza). Asante
Back
Top Bottom