Recent content by ENERGY ANALYST

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kutekwa MO: Viongozi wa Serikali waliohojiwa wakae kando kupisha uchunguzi, CCM lazima ijitofautishe na CHADEMA!

    Mtuhumiwa namba one ni Mzee John wa magogoni
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Meya wa Jiji la Arusha na Mbunge Lema Kwa Kusaini ujezi wa Barabara za jiji Km 12.5 zitakazojengwa na Wachina

    kabombe ni mrisho Gambo..acheni kupoteza muda nae anamsifu Magu kwa kutoa pesa anapofafanuliwa kuwa magu hana pesa bali ni za wananchi anadai wananchi wapongezwe na sio bosi wake Ngosha, He goes on cycles..hizo ndizo akili ya maccm wakizidiwa hoja. Hopeful kuanzia sasa majengo na barabara na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Stiegler's Gorge ya Magufuli vs Bomba la Gasi ya Jakaya Kikwete

    780,000,000mcf/d ambapo ilikuwa izalishe 3000MW Hio ndio ilikuwa ahadi kwa sasa inazlisha chini ya megawatt 500 swali la kujiuliza je huo mradi mpya haujabeba ahadi hewa kama ule wa gesi asilia!!???
  4. E

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa CHADEMA mwalimu Kasuku Samson Bilago

    Spika ndugai ni mpotoshaji mkubwa hakuna mahala MHE.Mbowe wala chadema wamelalamikia huduma alizopewa marehemu bali wamelalamikia Bunge kupanga ratiba ya msiba BILA ya kushirikisha familia ya marehemu wala chama chake.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Huu hapa usaliti wa CHADEMA kwa Taifa

    kwa sbb alichoandika Shilatu ni none sense kamati ya ubunge ilitaja maazimio matano ikiwemo kuwafikisha mahakamani wanasiasa wote waliousika na kashfa ya escrow wakiwemo waliogawana mabilioni ya benki ya mkombozi na akina Prof.Muhongo hakuna hata mmoja aliyechulkuliwa hatua ktk wanasiasa wote...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Panapo Fuka Moshi, Kuna Moto. Chadema Mbona Mnatapatapa Na Uenyekiti Wa Mbowe

    kusema Mbowe amekaa muda mrefu basi abadilishwe ni hoja dhaifu, usiangalie muda angalia results ndio kitu cha msingi. halafu hata kama unataka abadilike lazima uje na sababu za msingi ambazo wengi wanaonekana hawana isipokuwa muda tu na tatu lazima uje na altenative na useme tatizo lililopo na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Propaganda kali sana zinasukwa na CCM kwenda kwa Mbowe

    hii inamaanisha wana CCM wana uchungu sana na chadema kuliko wana chadema wenyewe waliomuweka Mbowe na hawanaonekani kuwa na matatizo naye. swali kubwa la kujiuliza kwanini hawana tatizo la M-kiti wa CUF anayekalia kinguvu kiti ambaye yuko uongozi muda mrefu kuliko Mbowe??. jawabu mbowe is...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Uwongo juu ya kulipa deni la taifa, ukweli ni kuwa hatulipi madeni je fedha zinaenda wapi? Tunaibiwa kuliko awamu zote

    ..inakuwaje monthly revenue imebakia tril 1.2 to 1.3 kwa mwezi na mdororo mkubwa huu wa biashara na hasa ukizingatia biashara kibao zimefungwa ?? is there any possibility that BOT maybe cooking the books to impress the King?? nataka kupata mawazo yako kwy hili la monthly collection!!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Uwongo juu ya kulipa deni la taifa, ukweli ni kuwa hatulipi madeni je fedha zinaenda wapi? Tunaibiwa kuliko awamu zote

    you are right Mr. Undertaker they maybe paying interest only and that will take 100 years to pay off the whole debt. Time has come now to audit the BOT on our national debt. can you imagine shs 50trillioni na watu hawana maji ya safi na salama ya kunywa tena mijini.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kilimo 2018/2019: Serikali ya CCM haina dhamira ya kuendeleza kilimo na haina Mpango na Wakulima

    ningekuwa bado mwalim ningekupa F ktk majibu yako mwenzako katimua takwimu kujengea hoja kuwa kilimo kimetupwa wewe unatumia hoja nyepesi zisizo na takwimu kujibu maswali magumu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Polepole, Ati Mbeya ina ukabila, hapa umekanushwa!

    Hongereni wana Mbeya achacheni na mkabila Polepole sijui wamemnywesha nini yaani kapoteza akili zake zote ccm mbaya sana
  12. E

    JamiiForums Tanzania BUNGENI, DODOMA: Serikali yapiga marufuku uuzwaji wa Mazao yakiwa bado shambani

    kulima nilime mimi wewe unipangie nivune lini na nimuuzie nani!!??? what a classic example of Totalitarian regime
  13. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kukata tamaa ni laana, CHADEMA hakifi

    ni Africa tu pekee kiongozi anapokitoa chama kutoka wabunge 4 na madiwani 46 mpaka wabunge 77 na wadiwani 1134 anaambiwa ajiuzulu kwa maana anakipeleka chama kubaya. Mbowe angekuwa anaongoza kampuni ningenunua shares mara mbili nilizozonazo kulingana na track record ya performance yake.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    no hio sio kweli kaulize mkopo wa upanuzi wa barabara ya morogoro rd uliishia wapi ??!! kelele za wananchi zina impact kubwa sana kwani wakopeshaji wanaangalia political stability ya nchi wakiona kuna uvunjwaji mkubwa wa sharia na haki za binadamu inawekwa kwy ni HIGH RISK category.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Fatma Karume: Msingi wa kuleta maendeleo yoyote yale ni kupatikana kwa haki ya kuongea

    wandugu hii issue ni simple ITS ALL ABOUT CONTROL CONTROL CONTROL CCM na SERIKALI yake wamezitia mfukoni Taasisi zote hapa nchini kasoro moja tu nayo ni TLS hawana uwezo wa ku impose viongozi wanaowataka kwy taasisi yao wanachagua viongozi wanaowataka wenyewe huku serikali ikiangalia huku...
Back
Top Bottom