Recent content by Endrue

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

    Wasijisahaulishe, kauli mbiu ya Simba mwaka huu ni UBAYAUBWELA, viashiria vyovyote vile visivyo rafiki vitakumbana na kauli mbiu hiyo.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

    Ndugu yangu kuisema vibaya Zenji haitokusaidia kutatua changamoto za kimaisha ulizo nazo. Msubirie Lisu wako anaefaa kuwa kiongoz wa nchi ili moyo wako uburudike
  3. E

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya wajinga yanapotia watu hasara

    TFF wamefanya jambo jema nimefrahia, wameweza kuusoma upepo, kama wangelazimisha mpira uchezwe alaf itokezee simba afungwe, athari ingekuwa kubwa kuliko hii ya kuahirishwa kwa mchezo, hayo ndio maridhiano ktk mpira hususan kwa vilab hivi viwili shindani. Kongole TFF, mpira uchezwe uwanjani...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Trump anaandaa Mazingira ya kupeleka jeshi la Mapigano nchini Ukraine dhidi ya Urusi?

    Watu wengine mnapoandika sijui mnavuta bange, vita vya ghuba alivyosaidiwa Iraq na Marekan havikuwa na changamoto kubwa khs usalama wa Marekan, lkn direct war kati ya Urusi na Marekan kwa kisingizio tu cha kupata Maadini yaliyokuwepo Ukraine hilo halitowezekana, sio kipindi kile cha Biden wala...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ligi za Tanzania kama tusipo kuwa makini Simba na Yanga ni mali ya CCM kiufupi

    Kwann zisiwe za Chadema na ziwe za CCM mkuu?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wakiongozwa na GENTAMYCINE tunauliza je, Mwamnyeto nae Akioa Uongozi wetu utamzawadia 50M kama Aziz K?

    Unamaanisha kwamba Kibwana yeye alipooa hakupewa milioni 50, alaf pia uongoz wa Yanga haukuipa umuhimu harusi yake, itakuwa ni ubaguzi.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ole wenu Uongozi wa Simba SC mumrudishe Mnafiki na Msaliti mkubwa Clatous Chota Chama Msimu huu ukimalizika

    Hatumtaki Chama kwa sasa hawezi kutuvusha, tukitoa mchezaji tuingize mchezaji wa maana.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Vita ni teknologia, Rwanda hana ubavu wa kupambana na South Africa. Rwanda hana Air defensive yeyote, ukirusha ata jiwe linaingia na kupiga popote pale. Ni mkwara mbuzi tu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Mm nadhani hakuna jipya, kila aina ya silaha ameshapewa Izrael na ameshaitumia kwa maskini wasio na uwezo wowote wa kijeshi. Pengine labda hizo Nyuklia tu ndio bado hajatumia
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

    Binafsi natamani aendelee kupiga ili ukombozi ukaribie. Wale wasunni walio wengi pale middle east akili itakapo kaa sawa ndio ukombozi utakuja.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Israeli military attacked more than 250 targets in Syria: Report

    Hiki ulichokiongea ndio ambacho nilikuwa nakifikiria tangu kuanguka kwa utawala wa Assad
  12. E

    JamiiForums Tanzania Huyu Chama SImba walitubadilishia nini? kuna kitu Yanga hakipo sawa

    Usiseme ivooo
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu viongozi wa Yanga walikosea

    Kocha ameajiriwa ili afukuzwe, kama hafanyi vizuri na afukuzwe tu aje mwengine
  14. E

    JamiiForums Tanzania Iran yasema ipo tayari mazungumzo kuachana na mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia lakini kamwe haitokubali kutishwa!

    Iran sio wapumbavu kiasi hicho wakijua fika kuwa maadui zake Marekani na Izrael wote wanazo Silaha za Nuclear. Hata kama wamesema watakubali mazungumzo kuhusu mpango wao wa Nuclear lkn ni lazima na wewe ujiengeze
  15. E

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Refa kuna kitu anakitafuta
Back
Top Bottom