Recent content by end2

  1. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    R.I.P Komba
  2. E

    JamiiForums Tanzania No one to blame ila mimi mwenyewe

    Pole sana dia..relationship r harder nwdays..usikate tamaa forget abt yo past na angalia mbele..usiangalie hyo mwingine alikutreat vp hyo kashakua wako wa maisha so jikaze tu..as long as anakuheshim wala.usihof hzo ndo changamoto zenyewe
  3. E

    JamiiForums Tanzania Utafiti: maoni ya wananchi juu ya uvaaji nusu uchi kwa wanawake

    Mavazi wakati mwingine yanaweza kumtambulisha mtu ni wa aina gani..kuna mavazi mengine mtu anavaa hata ww wa pembeni kama ni msichana mwenzio unaona aibu!..Mavaz yapo ya kila dizine sio lazma uvae nguo ambayo ukipita kila mtu lazma ageuke...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    vioja bungeni!!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Tanesco mmetukatili leo..dah
  6. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Duh nimekosa kuwasikiliza majembe yangu!!Nashukuru sana mkuu kwa taarifa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Namkubali sana hyu mama..Magdalena Sakaya!!hawa ndo wamama tunaowataka katika 50 50 sio kina nanii
  8. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Iv mnyika na Halima mdee wameshachangia ktk list ya leo?umeme ulikata apa
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Hii mikiki ya hicho kiti anaiweza sugu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Mimi sidhani kama Ester yupo sawa kusema haoni sababu ya waziri mkuu kujiuzulu...waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa serekali hvyo lazima awe responsible kwa yaliyotokea..haijalishi amehusika au hapana
  11. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Pongezi nyingi kwa mh.Cheyo
  12. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Kashambiwa chama chake hakitambuliki among wapinzani..so ata akitetea leo kaz bure
Back
Top Bottom