Recent content by empressu

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa inaitwa Oratane kwaajili ya chunusi..

    Hlw jf.. Mwenye kufahamu hii dawa inaitwa oratane(kwa ajili ya chunusi) inapatikana pharmacies? na ni bei gani?.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Nacte

    Nataka kuapply diploma in primary education but kwenye guidebook ipo lakini nikifanya application zilizopo ni certificate tu ....shida ni nini na snifanyeje?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi za ualimu secondary diploma

    Naomba msaada tafadhali dogo kamaliza six kapata dvs 3 ya 14 so ana DEE anataka aende dipl.ualimu na fungua nacte cioni guidebook ya ualimu au kuna utaratibu mwingine waliosoma au wenye ufahamu juu ya hili plz help..asante
  4. E

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu tablet

    kusomea na kuhifadhi data..
  5. E

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu tablet

    wakuu naomba mnisaidie tablet nzuri ni kampuni gani na sifa zake ni zipi...natanguliza shukrani.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo cha KCMC

    mbn tunaanza kuogopa tuliopangwa hapo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bodi ya mkopo

    aisee sorry mm co kikohozi mm ni mtu mwngn kbs kwa uku jamii forum mtu huwezi kuuliza kitu ambacho kinakutatiza au haukielewi?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bodi ya mkopo

    asanteni nishasema uckute ni mm mwnyw aya mambo hayatbrk duuh
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bodi ya mkopo

    wakuu nikilogin kwny page yangu heslb naambiwa my application is ready for submission ni print completed form na wakati nilishaprint zamani na kusubmitt je kuna tatizo naomba wenye ueleewa mnisaidie...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    jmn iv prfl zenu zinaonekanaje?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mkopo

    ww umeomba mkopo?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mambo yashaanza kunoga NACTE!

    izo confirmation za nn tena mm cjaelewa
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro christian medical university college(KCMUco)

    habari zenu wakuu,tuliochaguliwa KCMUco tukutane hapa na wenyeji tafadhali mtuelekeze kuhusu KCMUco..natanguliza shukrani..
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mambo yashaanza kunoga NACTE!

    hata mm nimeona thnx to God...nawaombea na wengine mpate
  15. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mkopo

    ni kuomba tu Mungu
Back
Top Bottom