Recent content by EMOLO

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

    Mzee kama hujui heshima yako nikubwa sana nchi hii,haipendezi kwa unayotaka kuyafanya upareni,ninamaana muondoe kileo mpeleke hai kama ni raha,watu wa mwanga tutakupa mtu sio wewe utuletee mtu asie kuwa na maadili yetu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Muuwaji wa soka la kilimanjaro huyu hapa.

    Ndugu zangu wana jamii na wapenda michezo hususani wakazi wa kilimanjaro,nimeona leo nimtaje mtu ambaye amekua akirudisha soka la kilimanjaro na viunga vyake,nahuyu sio mwingine bali ni shabani chizi au machivia,kiukweli huyu bwana amekua taizo kwenye soka la moshi,muuaji huyu hupenda kufuatilia...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA jimbo la Kalenga

    MAKIDALANA we una laana kama jina lako,hivi harakati za CDM huzioni mpaka uongee upumbavu?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

    NINAMASHAKA na uelewa wako,unanidhamu ya uoga,nahisi wewe ni MIONGONI MWAO,kimsingi tafakari kabla hujajibu. I dare to talk openly.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

    Ndg mbona unatia aibu wapare waliosoma?inamana hujaona kilicho andikwa?au na we ndo walewale!?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

    :A S cry:Nlipokuwa nikisikia UCHAGA na CHADEMA nilihisi ni chuki za watu wa mitaani lakini leo nausibitishia umma kwamba kilichomtoa ZITO CHADEMA ni UCHAGA NA UDINI.Ndugu zangu wana jamii mimi ni mkazi wa MWANGA KILIMANJARO kwa kuzaliwa nakama mjuavyo sisi watu wa KILIMANJARO tumekwenda shule na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

    Nlipokuwa nikisikia UCHAGA na CHADEMA nilihisi ni chuki za watu wa mitaani lakini leo nausibitishia umma kwamba kilichomtoa ZITO CHADEMA ni UCHAGA NA UDINI. Ndugu zangu wana jamii mimi ni mkazi wa MWANGA KILIMANJARO kwa kuzaliwa nakama mjuavyo sisi watu wa KILIMANJARO tumekwenda shule na...
Back
Top Bottom