Recent content by emmyfaith

  1. emmyfaith

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole sana wafiwa wote, wapumzike kwa amani marehemu wetu. Inauma sana
  2. emmyfaith

    Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. emmyfaith

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Aisee kweli yani haueleweki
  4. emmyfaith

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Tupe formula hiyo mana familia zetu, majirani zetu, marafiki zetu wanaugua kila kukicha. Hakuna familia haijaguswa na hili janga
  5. emmyfaith

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Kuna dada yangu ameathirika, ametumia ARV toka 2007 na anafuata masharti vizuri sana. Mumewe alifariki yeye alishindwa kukubaliana na matokeo, hajaolewa hadi sasa ila mpenzi anae lkn ye condom anaziombaga hospital wanampaga box zima. Na akitoka na mpnz wake anabeba kwenye pochi condom zake. Kwa...
  6. emmyfaith

    Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo

    Mhhh lakini inabidi ufanye mazoezi ya kuuvua uoga kwanza hadi ufuzu
  7. emmyfaith

    Tahadhari picha inatisha: Mwanamke auawa na kuwekwa ndani ya jaba la maji

    Kwa kweli wenye kufahamu vizuri mahusiano na muuaji watujuze kama ndo mume mwenyewe mjeda aliyekuwa zenji au mchepuko vumbi
  8. emmyfaith

    Mshana Jr na wengine wenye uzoefu mje mnijibu

    Mimi ndo ulalaji wangu nikilala upande sifaidi sana usingizi lazima nigeuke nilale chali lkn sijawahi pata tatizo kabisa, ila kuna siku miaka 17 nyuma nikiwa na mimba kubwa mama alinigongea sana dirisha saa 8 uck nilipoamka akanambia nilikuwa nakoroma ikamshtua yeye mana si kawaida yangu...
  9. emmyfaith

    Prof. Kitila Mkumbo atoa neno kwa Rais baada ya kuapishwa

    Huu mchezo hauhitaji hasira,,,,,,
  10. emmyfaith

    Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo

    Kwa hiyo hicho ni chumba maalum cha mazoezi ya kufa, na washangiliaji naona wako pembeni wanasubiri watu wafufuke, sasa huwa inachukua muda gani hadi mtu ujione roho imetoka kabisa na baadae kuirudisha roho ktk mwili. Na roho inakuwa inajua kuwa baada ya muda fulani natakiwa kuwa nimerudi pahala...
  11. emmyfaith

    Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo

    Duh ila yahitaji ujasiri
  12. emmyfaith

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Kwa kweli leo nimejifunza mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu na mengine nilikuwa sijawahi hata kusikia, hiyo P.E.P kwa kweli msamiati mpya ila nimeelewa.
Back
Top Bottom