Recent content by Emmy12

  1. E

    Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

    Rafiki umesahau na ile wanaita "start".
  2. E

    Namtafuta mume mwenye sifa hizo

    Pole sana! Soma hadi mwisho Makosa mengine ni ya kuchapaji tu ndugu.
  3. E

    Namtafuta mume mwenye sifa hizo

    Siogopi changamoto za ndoa ndugu, kwani natambua hakuna mkamilifu na changamoto zipo tu. Jambo la msingi ni kupendana, kuheshimiana na kuvumiliana
  4. E

    Namtafuta mume mwenye sifa hizo

    Thank you dear
  5. E

    Namtafuta mume mwenye sifa hizo

    - Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda. - Umri 35-48 - Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda. - Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia. - Mwenye upendo kwa mke na watoto wote...
Back
Top Bottom