Recent content by emmy Rugeiyamu

  1. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji eneo kwa ajili ya biashara ya mgahawa

    Hi JF nahitaji eneo kwa ajili ya biashara ya mgahawa kwa yeyote mweny kujua eneo zuri naomb anisaidie nahitaji plzz nisaidie
  2. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kioo cha Samsung s4

    Habar JF nahitaji kioo cha Samsung s4 kwa yoyote anayeuza tuwasiliane
  3. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Ajira wafanyakazi wanahitajika Viwandani na mahotelini

    Hawa jamaa mm siwaelew ukiwapigia wanadai wako ubungo terminal tena wanakuambia njoo na vyeti pamoja na elfu 20 ya form nikawaza form ya kaz inalipiwa?? Tena anakwambia ukiajiliwa mwisho wa mwez utampatia elfu hamsin kwa ajili ya comission coz yy ni agent ,nakapost ili tangazo in different media
  4. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Fundi Kushona Nguo - Nafasi 1 Dar es Salaam

    Naomba hio kaz ndug
  5. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy Mega Plus

    Ndo hio
  6. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy Mega Plus

    Laki mbili na tisini na tano mpya
  7. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Nataka simu

    Poa tnx
  8. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Nataka simu

  9. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Nataka simu

    Natafuta simu ya smart ya laki na kumi mwenye kuuza anichek ,(110000)
  10. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Fundi nguo/cherehani anahitajika

    Mkuu bado unahitaji huyo mtu maana Nina mdogo wangu na nilitoa tangazo mda mrefu
  11. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya saloon

    Shkran ila kwa bkb amna
  12. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya saloon

    Habar JF mm ni mdada ninatafuta kaz ya saloon kwa yeyote Anayetafuta mtu Niko tayar ,shkrani
  13. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji smartphone

    Nahitaji smart used kwa elfu 80 ambae anayo anicheck pleas
  14. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ushonaji wa nguo za kike na kiume

    But hii namb ni lain gan mbona siisomi
  15. emmy Rugeiyamu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ushonaji wa nguo za kike na kiume

    Ok nakuchek
Back
Top Bottom