Recent content by Emmy P

  1. Emmy P

    Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

    Uchuro kupata Tanzania yenye neema?? wewe utakuwa unamtindio wa ubongo
  2. Emmy P

    Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

    Ndugu yangu, na ndio maana nikasema katika hali isiyo ya kawaida......yaani ndoto hivi, hii ni ya tatu toka nizaliwe....na hakuna ambayo ilikuwa kinyume..........ya kwanza niliota kifo cha bibi yangu siku inayofuata wakati bibi hakuwa anaumwa wala nini.......kwa bahati mbaya bibi aligongwa na...
  3. Emmy P

    Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

    Habari ndugu zangu, Katika hali ambayo siyo ya kawaida......nimeota kuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania ni Mheshimiwa Dr. W.P.Slaa. Kiitikadi mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa kwa maana similiki kadi ya chama chochote. Nimeota tumeshafikia mwaka 2015, mwezi December tarehe za...
  4. Emmy P

    Jamani nisaidieni na huyu boyfriend wangu!

    Habari wandugu, Kwanza kabisa nitoe shukurani kwa waanzilishi wa huu mtandao kwani nimefuatilia mada nyingi hususan za kimapenzi, kwa kweli zilinigusa sana.....so nikaona na mimi nijiunge ili nipate msaada wenu wa kimawazo.....kwani nimeona baadhi ya ushauri unajenga au kurudisha mahusiano...
Back
Top Bottom