Kuna watu humu wananisikitisha sana...mnaongea kirahisi...Mbunge Lema anapigania kitu kikubwa Zaid ya kutetea tu ndoto yake...uhuru ni haki ya kila mtanzania...Sasa navoona mtu mzima anatetea uonezi waziwazi nashindwa kuelewa uzima wa kichwa chake upo wapi
Asee mchambuzi nakupa big up sana, hapa mtu mwenye kujua hao watu wawili (CR7 Na The Flea) hawezi bisha.
Ila kuna jamaa hapo anasema eti huwezi kuwalinganisha coz Messi yupo timu inayofanya vizuri na Ronaldo timu yake haifanyi fresh.... Sasa kazi ya mchezaji bora c ndo kufanya timu ifanye...
Mh! ni kweli Midfield ya Barca ina support sana ma forward wake kushine ila kwa vyovyote vile utakavosema Messi bado anabakia kuwa mchezaji bora duniani kwa sasa
Ukiangalia match nyingi tu za barca unakuta mambo yanakuwa magumu Messi ndo anawabeba wanashinda so twende mbele turudi nyuma...
Habari zenu wadau!
Ubishi wa nani unampenda kwenye mpira huwa hauishi kama utafata mapenzi binafsi.....so lets try to speak using relevant records
Leo ukianza kusema Messi(The Flea) aende EPL au Serie A ili aoneshe kweli jamaa yuko juu utakuwa unakosea... Tukianza kuangalia ma contemporary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.