Sera atazitowa wapi ye anachotaka ni urais na kama mjuavyo rais hana kazi akipata Waziri Mkuu mzuri nchi inasonga na ye anataka kusafiri jamani akapumzike si unaona nguvu hamna kabisa kuongea tu shida mpaka kampeni ziiiishe atakuwa hoi kimwili na kiakili
kiongozi sahihi ni yule ambaye anakubali mabadiliko hilo ni sahihi kabisa kama kashfa ya richmond aliibeba mzigo ambao si wake ilitosha yeye kujiuzuru UPM wake bila kushinikizwa kama ilivokuwa kwake EL Jaji Joseph Sinde aliwahi kujiuzulu uwaziri mkuu kwa kutofautiana na Mwinyi huo ndio uzalendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.