Ukisha tamka neon kura ni lazima iwe ya siri..... isipokuwa ya siri haiwezi kuwa kura kwa vile binadamu tuna mapungufu yetu kwa kufuata alichochagua jirani yako nawe ukachagua usionekana msaliti.. inapokuwa siri matokeo hukubalika kwa walio wengi kushinda hoja.....
Kura yoyote Duniani ni siri...
Naona watu wamesahau maana ya kura..... ukisha sema kura ni maamuzi ya binafsi bila kumashirikisha mtu wakati wa kufanya hayo maamuzi ya unachokitarajia kinafaa kwa mtizamo wako bila mtu mwingine kujua .... Ni siri yako!!!
Sikubaliani na Muungano wa Africa Mashariki kwa mitizamo miwili mikubwa..
1. Kiuchumi - Hatuko sawa na hatutaweza kuwa sawa na wananchi wakafaidika na kitakachotokea ni majirani kuzidi kukuza uchumi wao kwa rasilimali zilizopo Tanzania kwa sababu wao wanauzoefu tayari na walishaona madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.