Recent content by Emmanuel180

  1. Emmanuel180

    Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Kaka suala la kwenda nje sio suala la kuomba ushauri si wenzio tunahangaika hayo mambo hatupati yaaan ningepata hata chance ya kwenda zambia tu nisingeomba ushauri
  2. Emmanuel180

    Anayekijua hiki chuo Dar es salaam police academy

    Kaka mbn chuo cha afya ila wanaonesha mabati ya msauz
  3. Emmanuel180

    Ukishachaguliwa first selection diploma ukaendelea kua apply second selection inakubali

    Jaman et uki apply diploma first selection ujawa selected ukienda pale NACTE kwenye tovuti yao upande wa afya wanasema congratulations unechaguliwa chuo fulan Mimi kama sijaridhika naweza ku apply diploma second selection tena? Bila kuathiri first selection ile au hawawez ju request tena maombi...
  4. Emmanuel180

    Anayekijua hiki chuo Dar es salaam police academy

    Hellow kwenye hizi selection za diploma mdogo wangu kachaguliwa dar es salaam police academy medical lab hiki chuo kiko waaap kwa dar mwenye kukifahamu vip mazingira yake yanafana?
  5. Emmanuel180

    Chuo cha Police Academy Medical Lab kipo wapi?

    Hellow kwenye hizi selection za Diploma mdogo wangu kachaguliwa Dar es Salaam Police Academy Medical lab. Hiki chuo kiko wapi kwa Dar? Mwenye kukifahamu vipi mazingira yake yanafana?
  6. Emmanuel180

    Naomba kujua tofauti ya Radiology na radiograpy

    Guys kwenye application za chuo nimeona kuna baadhi ya vyuo vinatoa program ya radiology wengine radiograpy napenda kujua kama zina tofautiana nini hasa? Au ni moja tu
  7. Emmanuel180

    Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

    Amin sana Kaka nzuri hiii
  8. Emmanuel180

    Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

    Ahsante sana kwa ushauri mzuri kaka nimeuchukua huu ubarikiwe Sana
  9. Emmanuel180

    Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

    Samahan kaka ufaulu wa kawaida unamaanisha gani? Afu mimi siombi serikalini nataka nisome hapa hapa nyumbani karb naenda kwa mguu chuo kina hospitali hapo hapoo
  10. Emmanuel180

    Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

    Nashukuru nimeuliza maana haoa nataja nisome chuo kina hospitali kipo. Nyumbani kabisaa sasa kina program hizo mbili tu
  11. Emmanuel180

    Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

    Nachukua huu ushauri mzuri.
Back
Top Bottom