Recent content by Emmanuel Zao

  1. Emmanuel Zao

    SABABU ZA USALITI KWENYE UHUSIANO

    USALITI ni kitu kibaya sana ambacho kimsingi hudhoofisha kama sio kuharibu kabisa uhusiano, vilevile hupoteza mali na muda wa mtu. Kibaya zaidi usaliti unaweza kusababisha ulemavu au Vifo. Tafsiri hasa ya neno USALITI inaweza kutofautiana kutegemea na maada ya mazungumzo au mtazamo wa mtu...
  2. Emmanuel Zao

    SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Hata hivyo Kingereza ndio lugha rasmi ya kwanza katka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo kuna kila namna na haja ya kuijua.😎
  3. Emmanuel Zao

    Fahamu haya kuhusu ajira za nje ya nchi

    Consultant(Mshauri) anaweza kuwa mwanasheria ama taasisi au kampuni ya uwakala iliyosajiliwa na inatambulika kisheria, kazi yao hasa kwenye maswala ya ajira za nje ni kuusaidia ubalozi kuwasilisha na kufuatilia mchakato wa nyaraka zako mpaka unapata mkataba wa kazi. Hawa ni watu wanaokushauri...
  4. Emmanuel Zao

    Fahamu haya kuhusu ajira za nje ya nchi

    Hii ni kwa yeyote mwenye ndoto ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi: Ili mwajili wa nje ya nchi akupe stahiki zako kama mfanyakazi na wewe ufurahie fursa hiyo basi ni lazima uwe na: 1. Elimu ya uhakika sababu ndio kigezo cha mtu anaejitambua kwa Dunia ya leo. 2. Uzoefu na taaluma yenye...
  5. Emmanuel Zao

    Seeker for public area job vacancy

    Motema ya moi lelo ekomi ndako ya mawa
Back
Top Bottom