Recent content by Emmanuel Simon Charles

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Kama hutaki stress Tena, Wekeza UTT AMIS mfuko wa HATI fungani (Bond Fund). Hapa utakua unapata gawio kulinga na kiasi ulichowekeza. Kwa mfano kama ungewekeza mwezi huu ungepata Gawio la 4M+ Kila mwezi pasipo kuathiri mtaji wako wa 500M. Haya ni maelezo kwa uchache ila zaidi ingia YouTube kula...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mtu unakila kitu 1.Serikali 2.Bunge 3.Mhakama 4.Jeshi Halafu unakua na woga juu ya watu wanavyotoa maoni Yao. #Freedomofspeech& explanation.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Betting yazidi kuineemesha Tanzania

    Kwa mwenye akili timamu hawezi shangilia ongezeko la Kodi ya namna hii.
Back
Top Bottom