Nyie mliopo kwenye nchi za watu ndy mnatusumbua akili mnajifanya tupo pamoja mnatudanganya tunakamatwa tunapigwa viboko,tunauwawa then mnakuja tena mtandaoni mnaanza kusema justice kwaajili ya fulani..kama mwanaharakat njoo upambane uku kaa mbele kbc hapo mm nitakuwa nyuma yako na bango la NO...
Umejikaza kabisa ety leta info zake,,.. mtot wa kiume kbc wewe unataka info za mwanaume mwenzio alafu??
Lala mapema kesho nikupeleke kwenye zege ukauchoshe uo mwili
Ni kwel anaroho mbaya ni katili sawa hata maandiko yameandika ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga..sasa yaani baada ya kufaham ivyo vyooooote hoja ni ipi?
Nini unataka kifanyike kaka mkubwa?
Garama ya plate namba ni tsh ngapi?
Garama ya V8 ni ngapi?
Alfu unacomplain kuhus plate namba atleast ungecomplain kuhus magari wanayotumia ningekuelewa hoja za msingi amzingatii mnaenda na biti tu ukipigwa misomisondo mnaruka nayo regee mnadunda nayo
Sijawai kuona mwanafunzi yoyot wa dar es salaam yupo kweny hali iyo...mbunge alieomba plate namba ni mbunge wa kinondoni anasababu zake kuomba pia sometimes ni kujidhalilisha tu ss watanzania kwel mbunge akaombe serikali iwanunulie wanafunzi sare?!! Au iwafungulie saloon kwaajil ya kunyoa nywele...
Somo zuri sana ukwel ni kwamb watu wengi ikiwapo na mm atujawa na elimu ya kutosha kuhusu hisa namna ya kununua ni utaratibu upi ufatwe na je unapouza pesa zako unazipata vp hii ni moja kati ya vitu vinavyopelekea watu wengi kutojiusisha na hisa mara nyingi watu uzungumzia namna ya kununua lkn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.