Habari zenu wakuu,
Mimi ni mwajiriwa na nina mkataba wa miaka miwili ambao unaisha tarehe 01/10/2016.
Hivyo, naomba kufahamishwa haki zangu au malipo yoyote baada ya kumaliza mkataba huu wa kazi kabla sijasaini mkataba mwingine. Mfano, kiinua mgongo na malipo mengine.
Nisaidieni wenye utaalamu...
Mambo vipi wadau
Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa mashine ya maxmalipo anisaidie.
Au kama kuna mtu anaiuza anitafute kwa namba 0712353346
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.