Sasa jaman kiongozi huchaguliwa ili afanye mambo mazuri na ya Maana... Sasa mtafanya kumbukizi ya viongozi wangapi wa CCM, Kuna wazee kibao waliotangulia wengi mbele za haki wametoa mchango mkubwa, Kuna raisi kama mkapa anamchango mkubwa sana Sasa mtafanya kumbukizi za wangapi? Kiongozi fanya...
Itakua umeanza kuifwatilia urusi juzi.... Si tu putin tangu Enzi za Rais yetsen wa wakali alikuwa akipinga ushoga wazi kabisa... Na urusi haijawai kuwa na Sheria inayoruhusu ushoga pamoja na kwamba urusi ni nchi ya kizungu ila ina itikadi ya ki socialist... Utamaduni wa falsafa ya kisocialist ni...
Wewe umejuaje kama alikuwa Hana uzoefu na uelewa wa idara... Diwani alikuwa kafika rank ya juu hata ndani ya idara ya usalama wa Taifa kama ambavo alifika juu kicheo ndani ya polisi... U think mamlaka za uteuzi inaweza mpa mtu kazi nyeti na ya juu kiasi kile kama hakuwa na uelewa na ujuzi wa...
Na ndo Maana Wana endelea kwasababu Wana taasisi imara kuliko mtu... AFRICA mtu au raisi ananguvu kuliko taasisi zote ndani ya nchi yani Africa ukiwa raisi hio nchi ni yako na Familia yako kwa wakati huo[emoji23]
Kwani raisi amempa lema msamaha au amefuta kesi kwasababu ni wazi kabisa ilikua ni ya kiasi kisiasa.. Na kwasabab awamu hii iliamua kuuzika siasa za awamu ya tano Waka kubaliana kufanya maridhiano yakisiasa... Hamna sehemu raisi katoa msamaha
Wanajifadhili wenyew Hawa ni wauzaji wa madawa ya kulevya wakubwa Duniani, Hawa hitaji kudhaminiwa na mtu maana wa naendesha biashara za mabillioni ya fedha
Hahaha kasome tanzania intelligence and security service Act 1996. Ujue kazi za hii idara ni nn... Nandomana Kuna kitengo kinaitwa FIU(financial intelligence unit) Kipo BOT kama left wing ya TISS na uzijue kazi za hii FIU hasa ni nn
Sent from my 701SO using JamiiForums mobile app
Ipo Chini ya wizara ya utumishi na utawala bora.... Vyombo vya usalama viwili vipo Chini ya hii wizara TISS na TAKUKURU
Sent from my 701SO using JamiiForums mobile app
Haha siasa za Tz ni tofauti sana na Kenya... Ndani ya CCM huna uwezo wa kupambana na mwenyekiti never utazimwa kama kibatali, bashiru ashakuwa katibu CCM anajua Hilo...
Sasa wee hujui nape saizi yupo kwene baraza la mawaziri.. Mawaziri hukinzana ndani ya vikao vya mawaziri ila wanapotok nje au kuwa bungeni huwa kitu kimoja na ndo Maana ya collective responsibility. Huwez kuwa ndani ya baraza la mawaziri afu unapiga mawe wakati ww ndio serikali wao huwa na vikao...
Yesu alikuwa tayar kaumbwa uko mbinguni biblia I nasema akamtoa mwanae wa pekee'' ili aje kuukomboa ulimwengu kwa wale watakoamini na kusadiki... Hivo yesu ilibidi aje kwa njia ya kawaida Duniani akemee maovu na afundishe ili watu wajue kulisikia neno na kulitii, na wale watakaoamini...
Dorothy kiukweli wizara ya Afya ili mshinda bhana... Hizi Mada ni za kawaida Sana ila sahvi watu wanaiangazia Sana nafasi ya uwaziri mkuu kwasababu majaliwa atamaliza kipindi cha pili 2025.. Na kama ujuavyo baada ya miaka 10 hatorudi tena kwene ofisi hiyo hiyo tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.