Recent content by Emmanuel Mkwama

  1. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA awasili tena Jijini Mbeya

    Duh
  2. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa kinachoendelea huko (Ukraine vs Russia) pia (islael vs parestina,Iran etc). Pamoja na NATO

    Shukrani kwa kuni quote na vifungu vya sheria
  3. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa kinachoendelea huko (Ukraine vs Russia) pia (islael vs parestina,Iran etc). Pamoja na NATO

    Shukrani mkuu kwa kunikosoa,ubarikiwe. Napokea chngamoto
  4. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa kinachoendelea huko (Ukraine vs Russia) pia (islael vs parestina,Iran etc). Pamoja na NATO

    Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu. Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha julikana. Ambalo kumpiga muiran, lakini Kuna mtu anasubiliwa ambaye mrassia, yeye akithubutu kumsaidi...
  5. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Hii katuni inatupa taswira gani? Hongera zenu katunist kwa kujaribu kufikisha msg kwa njia ya kitofauti na kipekee sana

    Vipi kuhusu wale wanao amini mzimu wa marehemu unarudi toka walipo muhifadhi nakuja kufanya mauji na kurudi kujichimbia alikotoka.
  6. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Hii katuni inatupa taswira gani? Hongera zenu katunist kwa kujaribu kufikisha msg kwa njia ya kitofauti na kipekee sana

    Binafsi nahisi mwandishi anatuma msg flani, baada ya inshu ya kutekana kutaka kurudi ama wasiojulikana kurudi tena. Je wewe umeielewaje?
  7. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Jicho langu la tatu kuhusu DP World kwa wanasiasa

    PUNGUZA UKALI WA MANENO MKUU,JITAHIDI KUDHIBITI AMA KUCONTROL HISIA ZAKO TAFADHALI ILI UWEZE KUHESHIMU MAWAZO YA WENGINE
Back
Top Bottom