Recent content by Emmanuel Mghase

  1. E

    Mtaji milioni 25 - 30

    cheki biashara ya soft drinks kwa jumla ukipata place Dar kipindi cha joto mzunguko ni mkubwa sana japo faida ni kidogo ila kwa mwezi ukikusanya kusanya unapata pesa ya kueleweka japo kwa mtaji wa 30M ni mdogo itabidi uje kuongeza baadaye
  2. E

    DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    inategemea na mtu unaichukulia Dar kwa angle gani kwa issue za biashara , utafutaji , upatikanaji wa huduma za kijamii , big exposure na mengne mengi huwezi sema Dar ni paovyo hata kdogo
  3. E

    Nahitaji msaada. Nadhani nina tatizo, hii si hali ya kawaida

    cheki watu wa psychology mzee matatzo yataisha
Back
Top Bottom