Kama ni kuwasambaratisha tulishamaliza Molemo. Kinachofanyika sasa ni mwenye nyumba kuondoa virago vya mtesi CCM. Rorya, Kyela, Njombe, Kahama, Muleba na nchi nzima kuna operesheni ya kurejesha utawala wa Mungu kwa watu wake.
Nina hakika pasi na shaka kuwa Mwanga ya leo siyo ya jana. Sisiemu wanahitajj kuifilisi nchi kabisa kuweza kutimiza azma yao ya kuwarejesha wana wa nchi ukengeuni. Mwanga ilishazaliwa upya. Huh ni mwaka wa majibu
Kwa akili nyepesi tu unaweza kufahamu namna CCM walivyoshindwa kwenye mkakati wao wa uovu kulitaifisha rasmi taifa na kulifanya mali yao. Kama ni kutugeuza mazuzu mmefanya tena kwa miaka mingi sana lakini katika hili la kuigeuza katiba ya CCM kuwa katiba ya nchi Mungu atawapiga kelbu mmoja baada...
Sitta na chama chake wanayaishi yale yapaswayo kutokea. Mnyoo unaposhambulia mmea huanzia ndani na ukishashambulia na kuteketeza ndani ndipo mmea huanza konekana dhaifu na hatimaye kunyauka. CCM imetafunwa kwa ndani na sasa ni dalili za nje zinaanza kuonekana.
Hivi ni sifa kudanganya eeh? "ACT imenaza vizuri na inakubalika" Hii ni porojo ya kisiasa.
CCM waanzilishi wa ACT wamekiri plan yao ime-fail. September ndiyo ilikuwa target yao na wameangukia pua. Sasa wanakuja na plan C ya kuwapakazia CDADEMA kuwa wanavunja ofisi zao. Hiki ni kituko...
Na haya nayo ni maoni yako pia kuwa BMK ina maoni ya wengi. Wengi kuwazidi nani? Wajumbe wa CCM kwenye BMK hawawezi kuwa wengi kuwazidi watanzania waliopendekeza serikali 3. Huo ni uhalali unaopatikana kwa hoja ya nguvu na si nguvu ya hoja.
BMK ingeweza kutupilia mbali rasimu kwa sababu za msingi tu. Ukitupilia mbali rasimu halafu ukaanza mchakato upya lazima urudi kwenye bunge la Jamhuri ufanye marekebisho ya majukumu ya BMK au vinginevyo. Kama ni ishu ya kutupilia mbali rasimu basi haja ya kuwa na rasimu ingetimizwa kwa njia...
Polisi wanachekesha sana. Leo wamevamia ofisi za chadema Morogoro na kupiga mabomu ofisini na kuiba vifaa ikiwemo laptop na simu. Hii yote ni hofu ya watawala juu ya hatma yao. Hakuna ukombozi usio na gharama. Kuna gharama mbili; ya wanaojitoa kuleta ukombozi na ya wanaopambana kuupinga...
Ukiwa makini utakuwa muelewa kuwa hoja ya ukawa siyo serikali ngapi bali msingi halali wa katiba tarajiwa ambao ni maoni ya wananchi. Tunataka katiba iheshimiwe kuanzia maoni yanayojenga katiba yenyewe. Unapobatilisha moja ya mambo yaliyotokana na maoni ya wananchi katika rasimu huwezi kuendelea...
Hakuna maridhiano pasipo na makubaliano na kuhesimu maamuzi ya wengi. Msingi na chanzo cha bunge linaloendelea sasa kukosa uhalali wa kisiasa ni pale matakwa ya wengi yalipopigwa kabali na walafi wa madaraka. Bunge limekosa mwelekeo. Linagunga katiba juu ya maoni ya wachache ambao ni CCM na...
Human progress is neither automatic nor inevitable...every step toward the goal of justice requires sacrifice, suffering and struggle; the tireless exertions and passionate concern of dedicated individuals. (Martin Luther King, Jr). Kinachofanywa na polisi chini ya serikali hii ni kupambana...
Kuchukuliwa fomu ni doti tu katika mengi yanayojenga historia njema ya chadema. Chadema ni mpango mtakatifu Historia iliyotukuka ya chadema imekifikisha chama kilipo. Magamba wasingekuwa wanahaha leo kama siyo historia na kazi inayofanywa na chadema.
Huo ndio msingi wa watu kuona Mbowe anafaa...
Sio haikui tu Nyanje bali CCM hawana.ubavu wa kupambana na dhoruba na kisulisuli cha chadema hivyo walipounda ATC ni kama vile kuunda kikosi haramu ukakipa baraka zote za kisiasa ili kitekeleze hujuma kwa chadema.
Bahati mbaya sana wanaambulia makapi chadema. Wanatusaidia kuzoa 'taka' ndani ya...
Zitto huyu huyu mliyemnunua na kumpa CCM (B)? Kwa taarifa yenu chadema ni chama makini na ndio maana ukiona mtu anaondoka ujue ni walewale wachumia tumbo.
Chadema haiwezi kufuga wachumia tumbo. Kuondoka kwa Zitto au yeyote yule mchafu hakuwezi kuisumbua chadema. Ndo maana sisi tuna ujasiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.