Si hao tu, kuna wengine wengi... wabunge (CCM, Chadema) na wafanya biashara wakubwa wanaochangia pesa nyingi katika kampeni ili mtu wao apite (Chadema, CCM, CUF). Nani alijua Bakhresa Group inahusishwa na ukwepaji kodi... michango yoteile waliyokuwa wanatoa kumbe haikuwa bure. Sioni kwa nini mtu...
NAWAUSIA WATENDAJI WENYE NIA YA KUBAKI KWENYE MADARAKA... TAFUTA WAKAGUZI WAZURI WA NDANI (INTERNAL AUDITORS) AU WACHUGUZI WA UFISADI (FRAUD EXAMINERS), kama wataendelea kutegemea ripoti za wasaidizi wao wataisoma namba. Wakumbuke kuwa ulaji ulikuwa unafanyika kwa syndicate... sasa ukikuta...
Ticket moja kwenda USA dola 15,000 had 20,000 (milioni 30 -40), simu wakiacha zikitafuna kodi ya watanzania masaa 24 eti wanafuatilia mambo ya huku TZ kwa internet, hoteli 5 stars, na huku vimwana wakiwa wamekatiwa ndege za kuwafuata huko majuu
Mhhh, unajaribu kuwakumbusha matanuzi yao au? Usiwatie uchungu watu wa TCRA, EWURA, SUMATRA, BOT, TPA, TRA na NAOT. Wengine walikuwa wanasema....kama nikupanda economy class, basi sisafiri.
Ni miezi zaidi ya mitano sasa tangu maamuzi magumu yaanze kufanyika. Kuna ma-CEO walikuwa wanaishi katika 1st class za ndege na 5 stars hotels kwa pesa za umma. Kila ukipanda ndege, wakati unaelekea kwenye daraja la economy, unawakuta wamekaa wako busy na I-Pad, Laptop, I-Phone na kadhalika, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.