Recent content by Emmanuel Julius Samson

  1. Emmanuel Julius Samson

    JamiiForums Tanzania Si Tanzania Si Marekani ambapo kuna Demokrasia

    Sure thing... Afadhali walijitahidi kuwa Open kwamba wanahitaji kushika dola..... Ila kwa hili la democracy, ni mtu mmoja mmoja kujitahidi kufanya liberation of their own minds
  2. Emmanuel Julius Samson

    JamiiForums Tanzania Si Tanzania Si Marekani ambapo kuna Demokrasia

    Kilichopo ni siasa, sio democracy..... Hawapiganii democracy bali kuruhusiwa kufanya siasa... That's my take
  3. Emmanuel Julius Samson

    JamiiForums Tanzania Si Tanzania Si Marekani ambapo kuna Demokrasia

    Hapana.... Kama unakuwa driven by the power of the words used, umepotea........ Acha ushabiki na fanya vitu kwa logic
  4. Emmanuel Julius Samson

    JamiiForums Tanzania Si Tanzania Si Marekani ambapo kuna Demokrasia

    Huenda ni misconception iliyopo... Inaruhusiwa kuwepo haki ya kusema hadharani, mtu kuchangia anachoona ni sahihi ila watu watamchukulia vipi inabaki kwa wasikilizaji wenyewe.... Ila logic ipo hivi, democracy ilikuwepo kwa sababu siasa ilitangulia.... Tungeweza kukwepa democracy kama siasa...
  5. Emmanuel Julius Samson

    JamiiForums Tanzania Faida sheria ya Makosa ya Kimtandao ni zipi?

    Wakati nilipopata nafasi ya kupitia sheria ya makosa ya mtandaoni sikupata clear definitions ya adhabu zake na matkwa yake na watu gani haswa wamelengwa kulindwa au kuwa sewed kwa makosa hayo........................... Just being critical and Curious............... Tusaidiane
Back
Top Bottom